Isura ye 8
1 Twataka mwenga muitange, ainja na alombo, kuhusu neema ya Nnongo ambayo ititolewa kwa makanisa ga Makedonia.
2 Wakati wa lijaribu kolo lya mateso, wingi wa puraha yabe ni ongezeko lya umaskini wabe upambike utajiri nkolo wa ukarimu.
3 Kwa naaba nashuhudia panga batitoa kwa kadiri ya balioweza, na hata zaidi ya balioweza.
4 Na kwa hiari yabembe bene kwa kutusihi kwingi, batulobite kwa ajili ya shiriki katika huduma yee kwa baumini.
5 Ayee itokana kwaa mana yatubile twatarajia. Badala yake, kwanza walijitoa bembe bene kwa Ngwana. Boka po kabajitoa bembe bene kwitu kwa mapenzi ya Nnongo.
6 Nga twatimsihi Tito, ywaabile tayari atianzisha kazi yee, kuleta katika ukamilifu tendo lee lya ukarimu nnani yinu.
7 Lakini mwenga mubile baingi katika kila kilebe-katika imani, katika usemi, katika maarifa, katika bidii, na katika upendo winu kwa ajili yitu. Nga nyoo muhakikishe panga mwenga mwabile na wingi kae katika likowe lee lya ukarimu.
8 Nabaya lee kati amri kwaa. Badala yake, nabaya lee ili kupima uhalisi wa upendo winu kwa linganisha na shauku ya bandu benge.
9 Kwa mana mutangite neema ya Ngwana witu Yesu Kristo. Hata mana abile tajiri, kwa ajili yinu abile maskini. ili panga pitya umaskini wake muweze kuwa tajiri.
10 Katika likowe lee nalowa kuwapea ushauri ambao utabasaidia. Mwaka umo waupitike, mtumbwe kwaa panga likowe. Lakini mwatitamaniya kulipanga.
11 Nambeambe mulikamilishe, Mana ibile na shauku na nia ya kulipanga, boka po, je mwaweza kae kulileta katika ukamilifu, kwa kadri ya mwamuweza.
12 Kwa kuwa mubile na shauku ya kupanga likowe lee, ni likowe linoite na lyakubalika. Lazima liyemite nnani ya chelo chabile nacho mundu, nnani kwaa ya abile nacho kwaa mundu.
13 Kwa mana kazi yee ibile kwaa kwa ajili panga benge baweze kupata nafuu ni mwenga muweze lemewa. Badala yake, kube ni usawa.
14 Baingi binu wa wakati wambeambe utasaidia kwa chelo watikihitaji. Ayee nga nyoo kae ili panga baingi wabe uweze kuasaidia mahitaji yinu, na panga kuwe ni usawa.
15 Ayee nga kati yaiandikilwe;”Ywembe ywabile ni vingi abile kwaa na kilebe chochote chakibakile ni ywembe ywabile na kichunu chabile kwaa ni uhitaji wowote,”
16 Lakini ashukuriwe Nnongo, ywabekite nkati ya mwoyo wa Tito mwoyo wowolo kwa bidii ya kujali ambavyo nibile navyo kwa ajili yinu.
17 Kwa mana apokile kwaa kae maombi yitu, ila abile na bidii husiana na maombi ago. Abile kwinu kwa hiyari yake mwene.
18 Tumtumite pamope ni ywembe nongo ambaye atisifiwa nkati mwa makanisa kwa ajili ya kazi yake katika kuitangaza injili.
19 Hivi kwaa kae, lakini achauliwe kae na makanisa kusafiri nitwenga katika kulipotwa sehemu mbalembale tendo lee lya ukarimu. Alee ni kwa utukufu wa Ngwana mwene na kwa shauku yitu ya kusaidia.
20 Twaepuka uwezekano wa panga yoyote aplikwa lalamika kuhusiana na twenga kuhusiana na ukarimu woo ambao twaupapite.
21 Twautola uangalifu kupanga cakibile chaheshima, nnonye kwaa ya Ngwana, lakini nnonge ya bandu kae,
22 Twantuma nongo ywenge pamope nabo. Twatimpema mara zanyansima, na tumweni abile ni shauku kwa ajili ya kazi zanyansima. Hata nambeambe abile na bidii muno kwa sababu ya ujasiri nkolo waabile nao nkati yinu.
23 Kwa habari ya Tito, ywembe ni mshirika mwenza wango na mpanga kazi mwenzanu kwa ajili yinu. Kati kwa alongo bitu, watumwile na makanisa. Nabaishimiya kwa Kristo.
24 Nga nyo, mubaoneshe upendo winu, na mubonekeye kwa makanisa sababu ya maipuno yitu kwa ajili yinu.