isura ye na 2
kwa hiyo wenga wamwana wangu. ujiliwe ngupu katika neema yaibike ngati ya kristo yesu. Na makowe gauga yuwine kwangu miyongoni mwa mshaidi. baingi wakabizi kwa bandu baaminifu ambayo bawesha kwa fundisha bingii kahi. ushiliki taabu pamoja nanenga. kati asikali mwema wa kristo yesu. Ndupu asikali ywa tumika wakati wowo kaii ya ngabana na sgughuli ya kawaida ya maisha aga. Ili apulaiki tajili wake kuluu. kahi kati mundu ywa shindana kati mwa kwi kinginama kanuni. ni muimu ywembee mkulima mwne bidii abe wa kwanza kuipokia mgaoo wa mazao gakee. ulifikilie ususha nibaya, kwa maana yesu aisha kuga tanga mambogote. ukumbuki yesu kristo buka usao wa daudi nywembe atifufuka buka kwa baandu babawile. ili uaingane na ujumbe wangu wa injili. ambayo kwa sababu yayooo mbaya mateso natabilwa manyololo kati na mwii. lakini neno lanungu lita bilwali na minyololo. 10 kwa nyoo nati vumilia makowe gote kwaijili ya balu ambaye nungu ashawile. ili bembe babe kahi baupate uwokovu wa ubile katika kilisto yesu pamoja na fufuka wa milele. 11 baya kuno ni kwa aminika mwenetuwile pame na ywembe twishi na ywembe kah! 12 mwene tuvumilie. twatawala pamoja na ywembe kaii atukana twenga. 13 mwene tubilea twa aminifu. ywembe aigala baa mwaminifu mahana aweshaki kwii kana mwene. 14 vendele kwa kubkukia nani ya makowe aga. waoonge mbele ya nungu baleke bishana na usu makowe. kwasbabu ndupu manufa katika likowe lino. bukana nali kuna alibika kwa balu baba pikania. 15 upange bidi kuilaya panga uyikitilwe ywa bileli na sabbu ya kunaumu. ulitumi lineno la kweli kwa usahi. 16 wiepushe na jadili ga duniani gembe aongoza kwa zaidi nazaidi ga zambi. 17 majadiliano gabe ga landale kati lilonda ndugu. miongoni mwabe ni imenavyo na fileto. 18 aba bandu baba kesike ukweli. babaya ya panga fufuka tayali bapitike baba ipunduwa imani ya bahazi ya baandu 19 ata nyoo msingi imala wa nungu unayima wene uwandishi wuno. yesu atangite bababile bake. nakila ywa litambwa linala yesu ni lazima haleke mabaya. 20 munyumba ya tajili siyo kuna yomboli ibile yombo ya zabu na shaba bahi kuna yombo ya mikongo na utupihi. bazi ya yino ni kwajili ya matumizi ya ishima na baazi yake ni kwa matumizi gaga bileli ya ishima. 21 mwene abile mungu apakwi takasa mwene buka kwenye matumizi gagabile ya shima. ywembe ni shombo shaeshi mika ati tengenezwa malumu. ywa bile na manufa kwa yesu na ywa andaliwe kwa kazi mzuli. 22 uibutike tamaa ya ujana wako uwikingame haki imani upendo na amani pamoja na buluu baba kema yesu kwa woyo safi. 23 lakini ukane ulalo na maswali ya kipuuzi wenga utangite panga ibeleka bulwe 24 mtumishi wa yesu ibidileli yumana badala yake ywembe abempole kwa bandala boote. ywa wesha fundisha na ywa vumiliya. 25 nilazima abakiee kwa uploeee baluu baba pinga lakini nungu aweshe kwa pea msama kwa kuwi tanga kweli. 26 uweshe pata tanga kahi na kuikana mtego wa shetani. bada ya tangabati tekelwa shetani. bada ya tangabati tekelwa. na ywembe kwaajili ya mapenzi gakee.